kinana alitumia guta kwenda lindi na mtwara au nadhan ulifikiria vizul lakin ukashindwa kuandika vizul pole unayetaka kila mtu atembelee baiskel kama fund ujenz kinana
Ole Shider;
Kweli waswahili wanasemaga; Mapenzi ugonjwa. Naona jinzi unavyopatwa na shider kuubwa kuisifia ccm yako. Pole na shughuli nyingi za kuipaka rangi ccm yako.
Unathubutu kuitetea ati inafanya kampeini ya kimasikini?? Weye kweli kama si kichaa ni kipofu msese. Unajua wanachokifanya wakienda kwenye kampeni? Mama anaenda kusini baba akiwa kaskazini. Ulinzi wa mama unazidi wa baba kwani anahitaji makomandoo wanawake na makomandoo wanaume pia. Magari yoote ya sirikali yako hayafanyi kazi during her campain tour. Wafanyakazi wa serekali hakuna kazi nyingine ni kumlinda na kumsikiliza upuuuuuziii wake.
Watoto wanaondoka na Ma DJs wao kwenda mashariki na magharibi. Huko nako ni kampeni. Wanalipwa na serekali yako.
Oneni aibuuuuu. Usilinganishe na kampeni yeyote ya upinzani. Ni sawa na kulinganisha kichuguu cha mchwa na mlima Kilimanjaro. Havifanani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.