Katika hii picha unaona nini?kisa cha kweli

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
22,477
Reaction score
21,025
Huyo mwanamke mumewe alitoka safari akamkuta amekaa hapo kwenye kitanda kamuona kapendeza kampiga picha baada ya siku 3 kampiga risasi kafa kisa chenyewe kipo hapo hapo kwenye picha kaona nini? mpaka kamuua angalia utapata jibu
Je wewe unaona nini?
10568998_804762896235431_6703332580454924925_n.jpg
 
sasa vistori vya kutegana ndiyo nini sasa? mimi hata sioni cha kufanywa kupigwa risasi
 
Huyo mwanamke mumewe alitoka safari akamkuta amekaa hapo kwenye kitanda kamuona kapendeza kampiga picha baada ya siku 3 kampiga risasi kafa kisa chenyewe kipo hapo hapo kwenye picha kaona nini? mpaka kamuua angalia utapata jibu
Je wewe unaona nini?
10568998_804762896235431_6703332580454924925_n.jpg

hapo juu kwenye miwani kuna kondomu mbili ambazo zimetumika....!
 
Huyo mwanamke mumewe alitoka safari akamkuta amekaa hapo kwenye kitanda kamuona kapendeza kampiga picha baada ya siku 3 kampiga risasi kafa kisa chenyewe kipo hapo hapo kwenye picha kaona nini? mpaka kamuua angalia utapata jibu
Je wewe unaona nini?
10568998_804762896235431_6703332580454924925_n.jpg

Kwani hizo kondom hapo kitandani aliziacha yeye?
 
Back
Top Bottom