Katika hii dunia utaacha alama gani?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
40,444
Reaction score
62,823
Maisha ya mwanadamu ni mafupi sana, na ni bahati sana kufikisha miaka 80 na kuendelea.

Lakini ni vizuri pia kuacha kumbukumbu (alama) kwa wanaobaki; ili kutambua mchango wako katika jamii husika.

Ingawa aimaanishi kuacha alama au kutokuacha alama, kutarejesha uhai wako tena, bali ni kuweka ile hali ya jamii kutambua mchango wako.

Mi alama nitakayoiacha ni hizi nyuzi zangu; je wewe utaacha alama gani?

Nb: Ukitaka watu wote waishe duniani, wazuie watu wasizae kabisa kuanzia sasa; baada ya miaka 50 kutakuwa na watu wa kuhesabika
 
Messi kaacha alama uwanjani. mzabzab naye ataacha alama kwenye vitabu vya nyumba ya wageni wenyeji. From Dar to Dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…