Jiang Ze Dong
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 314
- 851
Salaam wanabodi tuendelee kuchukua tahadhari kuhusu Corona.
Kwa hakika Rais Magufuli aliona mbali sana licha ya mataifa makubwa kuchukua tahadhari na kuamua kuwafungia raia wao ndani na baadhi ya nchi za afrika kuanza kuiga hatua zilizochukuliwa na mataifa makubwa kiuchumi.
Wengi walitarajia Tanzania ingefuata mkumbo lakini Dunia ilishangaa Tanzania kupitia raisi wetu Magufuli kutokufuata mkumbo na kuamua kuufunulia ulimwengu juu ya udhaifu juu ya vipimo vya kupimia virusi vya Corona dunia ikaanza kufanya uchunguzi wakagundua kweli.
Rais aliwaambia watanzania wamuombe Mungu ili atuponye na majanga haya akasisitiza hakuna lockdown licha ya watu wachache walioukua wanatumiwa na mabeberu kupiga kelele wakitaka watu wafungiwe ndani huku wakijua jambo hilo linaathari kubwa sana hasa ukizingatia hali halisi ya watanzania lakini raisi alisisitiza watu wachape kazi huku akieleza hali ya ugonjwa imepungua huku akiahidi kufungua vyuo.
Dunia haikuamini lakin kweli vyuo vikafunguliwa na maisha yanaendelea na Dunia yote aliofanya Magufuli na wao wameiga ila wanaona aibu kumpongeza Magufuli huu ndo wakati umefika tujivunie kuwa na kiongozi mwenye maono ya mbali leo hii mataifa makubwa yanaruhusu watu waende kanisani na msikitini wamuombe Mungu Corona iishe hakika watanzania tujivunie kuwa na Magufuli
Nawasilisha..