Kwa maelezo uliyotoa ya uvumilivu woote huo sasa sijui unataka mke wa aina gani, shauri yako makurumbembe yapo tena yatakudaka kwa mikono miwili...angalia sana pia sali huwezi jua ya duniaUsingekuwa mpango wa mungu naamin tungekuwa tumeachana toka zamani..bado nilipitia kipindi kigumu cha maisha nilipoteza kazi na biashara zikawa mbaya bado huyu dada alivumilia na kunisaidia na kunipa moyo kuliko maelezo..sasa kwa nini hari kama hii itokee hatua za mwishoni?
Kaunga
KAUNGA..Kuhusiana na kusogeza arusi mbele bwana nilimshirikisha bro.wangu ebwana alinitukana kama mtoto vile hadi nikakata na cim..hatujaongea mpaka leo tena ilikuwa Juzi.hahahahaha
We unachukuaga likizo, na ukimaliza likizo unakuwa kawaida?wanasema mapenzi ni kama nyumba hivi....
kuna nyumba unaiona nzuri mno but huipendi.....
nyingine ya kawaida but unaitamani mpaka basi.......
chukua likizo ya kwako binafsi kama wiki moja hivi,ukirudi utajua nini ufanye
We unachukuaga likizo, na ukimaliza likizo unakuwa kawaida?
basi ushauri mzuri sana huu, bwana harusi aufate ila sasa na hayakabisaaaaaa