MZEE MSASAMBEGU
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,780
- 2,555
Wakuu naombeni nisaidieni, hivi katika awamu za utawala zilizopita makosa ya kiuteuzi kana Haya yanayoendelea sasa yashawahi jitokeza? Mfano mtu anateuliwa mkuu/katibu tawala wa wilaya hii alafu tena mkurugenzi wa wilaya nyingine or ishawahi tokea mtu anateuliwa hivyo alafu jina lake linatangazwa limeingia kimakosa.