Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Hakika nimekuwa nafuatilia Tume za Uchaguzi za nchi 3 za Afrika Mashariki Kwa maana ya Kenya Uganda Na Tanzania.Tume za Uchaguzi za Uganda Na Tanzania bado zinawajibika kufanya Kazi zake Kwa maelekezo ya Waliowateua Kwa maana ya Rais.Tume ya Uchaguzi ya Kenya haikuchaguliwa na Rais Bali imeundwa Kwa mujibu wa Katiba ya Kenya hivyo haiwajibiki Kwa Rais hivyo INA Mamlaka iliyopewa Na Katiba.Leo Tume ya Uchaguzi ya Kenya imeruhusu kila Chama kitaruhusiwa Kuhesabu kura zake kituoni kitu ambacho Uganda Na Tanzania hakipo.