kinguo
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 440
- 318
Wanajukwaa kama topic inavyojieleza hapo juu. Nataka kujua katibu wetu mpendwa aliyepigania chama kwa kuwakosoa mawaziri mizigo kwa sasa yuko wapi. Maana amekuwa kimya sana. Hata pongezi tu kwa mzee wa majipu amekuwa hatoi ya matamko yake. Nini kimemsibu. Mwenye taarifa naomba atujuze. Nawasilisha.