Katibu wa CCM mkoa wa Iringa afariki dunia

Katibu wa CCM mkoa wa Iringa afariki dunia

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
24,150
Reaction score
56,463
Nasikiliza bunge muda huu kuna mbunge ametoa taarifa bungeni kuwa Katibu Mkuu wa CCM mkoa wa Iringa amefariki dunia.

Kama ni kweli poleni wafiwa Mungu amuweke mahali anapostahili.
 
RIP viongozi wa CCM, i.e Katibu - Iringa na Diwani - Kisesa
 
Hivi idadi ya wananchama wa ccm hadi sasa imefikia ngapi vile!!!!! nape alisema wapo milioni 5 lakini huwa haipungui wala haiongezeki.


Poleni CCM iringa.
 
hana maana kabisa kumbe likuwa kwenye kundi la wanaotuhujumu na kuua ndugu zetu,nasita kumwombea namwachia Mungu mwenyewe.
 
Ni kweli amefariki dunia usiku wa jana kuamkia leo .R.i.p Comrade Mteming'ombe ,hii ni njia ya wote
 
Nadhani kwa sasa anaolowa kichapo kutoka nyerere kwa kukiuka misinformation ya chama,pole sana wafiwa
 
Back
Top Bottom