Naona Quinine kasahihisha kwa kuweka story, huyo ni Makamu Askofu. Pili, Jimbo la Mpanda lipo na askofu wake ni huyo niliyemtaja, WILLIAM, Paschal Kikoti. Pia lipo jimo katoliki la Sumbawanga, asofu wake ni Damian Kyaruzi. Ili tusichanganye tutambue kuwa majimbo ya katoliki hayaendi sawa na mikoa ya serikali. Mfano ni mkoa wa Kagera wenye majimbo matatu ya Bukoba, Rulenge na Kayanga