Katibu wa bunge na Spika wake wapimwe akili zao

Kuna taarifa kuwa wanaopigia kelele ufisadi wameandaliwa mkakati wa kupelekwa kuzimu je hii si hatua ya huo mkakati?
 
mhhhhhh sasa vilmelea 150 si maleria ingekua imepanda kichwani. angeshawehuka. uzuri naamini tunao wataalam wa tiba watatuelezea vzr kuhusu hili.

Tunao wako wapi? Wameshindwa kutibu Malaria.....!

Kumbukumbu zangu zinaonyesha kuwa Malaria ndiyo ugonjwa unaoongoza kwa kuchukua maisha ya wapendwa wetu hapa Tanzania. Je kama Muhimbili haina uwezo wa kutibu malaria tunategemee nini kwa waTz ambao si viongozi???????

Tabia hii ya kupelekana India inasababisha Hospitali zetu zizikudidimia ki-huduma. Watawala si tena wateja wa hizi hospitali za ndani ya nchi. Niliyasema haya hata kipindi kile Mzee Makamba alipopelekwa India wengine wakasema alikuwa anasumbuliwa na mafua!!!!!
 
una uhakika na unachokinena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…