Katibu wa Bunge: Jenista Mhagama amefariki kwa maradhi ya Moyo

Katibu wa Bunge: Jenista Mhagama amefariki kwa maradhi ya Moyo

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Baraka Leonard, amethibitisha kuwa kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, marehemu Jenista Mhagama, kimesababishwa na maradhi ya Moyo.

Akizungumza wakati wa Ibada ya Misa ya Kuuaga Mwili wa marehemu iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Kiwanja cha Ndege, Jijini Dodoma, Leonard amesema marehemu alifariki dunia baada ya kusumbuliwa na maradhi hayo.

Leonard ametoa kauli hiyo wakati akisoma wasifu wa marehemu mbele ya waombolezaji, viongozi wa Serikali, wabunge, ndugu, jamaa na marafiki waliohudhuria ibada hiyo ya kumuaga kiongozi huyo.

Aidha, amesema marehemu Jenista Mhagama ameacha watoto watano pamoja na familia ambayo imepata pigo kubwa kutokana na kifo chake cha ghafla.

Miela yote aliyokuwa nayo ajawahi kwenda ata Sourh Africa kwenye check up.

Mgonjwa wa moyo ambae majuzi tu alikuwa anajigaragaza kwenye vumbi akiomba kura.

Huko kwenye canteen ya bunge inadaiwa katika watu waliokuwa wanapenda vitamu-tamu Jenista mmoja wapo.

Mgonjwa wa moyo ambae hana diet concern, hiyo ni kazi ya ‘nerve agent’ tu acheni hadithi.
 
kwa Magu pia walisema vivyo hivyo kwamba alikuwa na matatizo ya moyo, you see the pattern? ...
 
Miela yote aliyokuwa nayo ajawahi kwenda ata Sourh Africa kwenye check up.

Mgonjwa wa moyo ambae majuzi tu alikuwa anajigaragaza kwenye vumbi akiomba kura.

Huko kwenye canteen ya bunge inadaiwa katika watu waliokuwa wanapenda vitamu-tamu Jenista mmoja wapo.

Mgonjwa wa moyo ambae hana diet concern, hiyo ni kazi ya ‘nerve agent’ tu acheni hadithi.
Licha ya Mihela tu, rafiki yake mmoja ni mmoja wa wana bodi katika hospital moja kubwa Sana.

Na mara nyigi ali penda kucheki afya hapo!
 
FAMILIA YAKE INASEMAJE???? VIHEREHERE
Watoto watano, kwa nini Katibu wa Bunge asome eulogy ya Mama yenu ???

Kupenda vya bure hata pale penye uwezo. Wanataka Bunge libebe msiba bure. Na wanajisikia hadhi kubwa serikali kuendesha iba wenu.

I am sure Jenister alisomesha shule nzuri hawa watoto lakini bado wamekuwa maboya.

Mume wa Jenister angekuwepo haya mauza uza yasingotokea. I dont think.
 
Hii ni hatarii . Viongozi wa Tanzania wanaishi kwa kujiachia sana. Hawana security alert kabisa.

Embu wawaige basi hata wasanii. Mbona wao wanashi kwa Tahadhari.

JK aliwahi sema... Huko CCM watu wanaogopa hata kuacha kikombe Cha chai mezani.

Wataendelea kufa kizembe.
 
Kama m'nyenzi Mungu hajaruhusu ufe hata udungwe sindano ya sumu hufi. Kwa maana hiyo Mungu amependa afe..
 
Back
Top Bottom