Katika hali ya kushangaza amesema serikali haijapiga marufuku mikutano ya kisiasa bali ile yenye viashiria vya kuvuruga amani. Amesema mkutano wa CCM ni wa kikanuni na hivyo UVCCM kama walinzi wa chama na viongozi wake wako tayari kwa mpambano na BAVICHA.
Amesema anawashangaa BAVICHA kuingilia mkutano usiowahusu kwani huu si mkutano wa chama chao. Amesema anajua BAVICHA hawana ubavu wa kupambana na UVCCM na akasema wanawasubiri Dodoma.
Chanzo: RFA, Mambo mambo
My take: Wanawasubiri Dodoma wakati Dodoma tu wameshajiandikisha 500?