Tayari Rais JPM ameshateua na kuwaapisha Wakuu wa Mikoa (RCs) wa Mikoa yote ya Tanzania Bara ili kuendana na kasi ya Hapa Kazi na sifa za kila Mkuu wa Mkoa . Je unaona ni mtu mwenye sifa gani anapaswa kuteuliwa katika nafasi ya Katibu Tawala wa Mkoa (RAS) ili kumsaidia RC aliyeteuliwa toa maoni yako hapa na kuanisha kwa undani kwa nini sifa hizo zinafaa au fulani anafaa kuwa RAS.