Katibu Tawala Arusha: Ni marufuku kwa wenyeviti wa mitaa na vijiji kumiliki mihuri ya ofisi za Serikali

Katibu Tawala Arusha: Ni marufuku kwa wenyeviti wa mitaa na vijiji kumiliki mihuri ya ofisi za Serikali

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
889
Reaction score
2,863
Wakuu,

Akizungumza Machi 13 2026 na watendaji wa Serikali mkoani Arusha Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Toba Nguvila amepiga marufuku wenyeviti wa mitaa na wenyeviti wa vijiji kutomiliki mihuri ya ofisi za Serikali akisisitiza kuwa mihuri hiyo inapaswa kutumiwa tu na watendaji walioko kisheria


 
Wenyeviti wa mitaa na vitongoji si wana mihuri yao pia?
 
Ngoja nimu address huyu RAS,kuna kitu kinaitwa responsibility na authority, hauwezi kutekeleza majukumu kama hauna mamlaka if someone actually given a task,they must also have power to act.
 
Back
Top Bottom