Chilipamwao
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 523
- 128
Nimesoma hapa jamvini kuwa katibu mpya wa wilaya ya mbeya CCM ni Raymond Mwangwale. Nimecheka sana, huyu bwana amesoma sm Azimio na tumesoma pamoja MBEYA DAY 1995-1998. hana kitu na kama CCM wamedhani kuwa kumleta huyu Mbeya ndio dawa, wasubiri matokeo!..
Raymond ni miongoni mwa Majembe mazito ndani ya Chama cha Mapinduzi shupavu,kijana,Mtanashati wa Fikra,Mweledi katika kutenda si Mwongo anasema Kweli daima,i know hi,.i was Ccm Udom while he was UVccm Secretary Dodoma Region,i like him,siriazly he is Gentleman,mwanaume wa shoka ajuae akitendacho daima,Hongera Kaka.
Raymond ni miongoni mwa Majembe mazito ndani ya Chama cha Mapinduzi shupavu,kijana,Mtanashati wa Fikra,Mweledi katika kutenda si Mwongo anasema Kweli daima,i know hi,.i was Ccm chairman Udom while he was UVccm Secretary Dodoma Region,i like him,siriazly he is Gentleman,mwanaume wa shoka ajuae akitendacho daima,Hongera Kaka.
hizi kauli za kumwambia mwenzako mwanaume wa shoka, zinatufanya tukuwekee alama ya kuuliza, zaidi ukiangalia na profile name yako ya 'handsome" aka sharobaro, dah. nakumbuka kauli hizi zilimponza SS wakati anamsifia EL kwenye vikao vyao vya NEC, akaambiwa aeleze uanaume wa lowassa akabaki kimya......
Acha wivu wa kike kijana.
Ray kafanya kazi ndani ya chama muda mrefu ukiunganisha uzoefu na uwezo alionao ndio maana kafika hapo.
Kumbuka watu wanakua..huwezi kumjaji mtu kwa tabia zake za shule ya msingi.
OTIS
Raymond ni miongoni mwa Majembe mazito ndani ya Chama cha Mapinduzi shupavu,kijana,Mtanashati wa Fikra,Mweledi katika kutenda si Mwongo anasema Kweli daima,i know hi,.i was Ccm chairman Udom while he was UVccm Secretary Dodoma Region,i like him,siriazly he is Gentleman,mwanaume wa shoka ajuae akitendacho daima,Hongera Kaka.
Kuna mahali nimekusoma umeandika ulisoma UDSM early 90s, na sasa hapa unasema umemfahamu ray ukiwa UDOM. Na inafahamika UDOM imeanza juzi kati hapa, Je umerudia chuo? Au umeshasahau ulichoandika!
Maranya huna Jipya fikiri mara mbili Udom Masters,acha ushamba kijana,
Raymond ni miongoni mwa Majembe mazito ndani ya Chama cha Mapinduzi shupavu,kijana,Mtanashati wa Fikra,Mweledi katika kutenda si Mwongo anasema Kweli daima,i know hi,.i was Ccm chairman Udom while he was UVccm Secretary Dodoma Region,i like him,siriazly he is Gentleman,mwanaume wa shoka ajuae akitendacho daima,Hongera Kaka.
hivi wivu wa kike ukoje? Naomba kueleshwa!
Maranya huna Jipya fikiri mara mbili Udom Masters,acha ushamba kijana,