Katibu Mkuu wa TLP John Komba afariki

Tangulia John Komba, nenda Komba, msalimie IMRAN KOMBE, salimie wapiganaji wote, heri Mungu wa mbinguni kakuepusha na fadhaa ya karne , inayonyemelea chama chako cha TLP kupitia A.L. Mrema. amewasaliti Watanzania wenzake, manamageuzi, wapinaji, na wale wote waliomwamini tangu ajiunge na kundi la watetezi wa mali ya UMMA miaka ya 90.
kapumzike Komba, salimia wote huko peponi kama utaionja.
Pumzika kwa amani milele yote.
ndimi Nguvumali.
Kama unatoa pole toa pole kwa familia ya marehemu. Kama unataka kuleta mada au topic juu ya Mrema na TLP lete fresh topic tuchangie.
RIP Komba.
 
Poleni wafiwa. Huyu alikuwa Katibu Mkuu kweli? Hamad Tao ni nani? Au mzee wa Kilaracha alishamtimua! Hakawii Mrema kukutimua usipoendana naye.
 
Kama unatoa pole toa pole kwa familia ya marehemu. Kama unataka kuleta mada au topic juu ya Mrema na TLP lete fresh topic tuchangie.
RIP Komba.
ni heri amekwenda. ni heri uso wake hautayaona haya yanayoendelea, nafsi yake haitashuhudia ghiliba za kina Mrema A.L na wengine, daima atabaki kuwa kimya.
kwaheri Komba, pumzika kaka yangu.
ndimi Nguvumali
 
Nilidhani Katibu Mkuu wa TLP kama Mrema alivyoteua ni TAO. Hata hivyo Roho ya Marehemu ipumzike pema peponi.
 
Back
Top Bottom