Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,885
- 109,973
Tangazo la kuchukuwa fomu jimbo la Ukonga limebandikwa dakika 15 kabla ya deadline wilayani ilala lakini Mwita Waitara katoka karime ndani ya muda huo kawahi, kachukuwa na karejesha.Wahamiaji kutoka CHADEMA na CUF (Mollel na Mtulia) walipitishwa bila kura za maoni ndani ya CCM kugombea Siha na Kinondoni. Tukavumilia. Tukasonga mbele. Tena, kuna mpango wenye viwango wa kuwapitisha Wahamiaji wengine Mwita Waitara na Kalanga kugombea Ukonga na Monduli bila kura za maoni. Utekelezaji wa mpango umeshaanza.
Waungamkono wa mpango huo wanajificha kwenye Kanuni za Kiuchaguzi za CCM. Eti, Kamati Kuu yaweza kuondoa utaratibu wa kura za maoni. Sasa, lini na wapi Kamati Kuu ya CCM iliketi, iliamua na kuelekeza kuwa Ukonga na Monduli kusiwe na kura za maoni? Halafu, Katibu Mkuu wa CCM na viongozi wengine mpo kimya tu. Kwanini?
Kura za maoni ni mchakato muhimu. Ni mchakato wa kichama na kisiasa. Lazima mgombea apimwe kukubalika kwake kuanzia kwa wanachama wa CCM wa Jimbo lake/Wilaya yake. Halafu, Kamati Kuu huidhinisha. Kura za maoni huonesha picha halisi ya mgombea mtarajiwa wa CCM katika Jimbo husika.
Ukimya huu wa viongozi wetu, huku kukiwa na malalamiko ya makada wetu wa CCM wa Monduli na Ukonga unatokana na kuwa na uhakika wa 'kushinda' chaguzi hizi za marudio? Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu yangu Dr. Bashiru Ally uko wapi? Kuna tatizo chamani!
Majibu ya Jeshi la Polisi kwa Waziri Lugola yamemuimarisha na kumjenga sana!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Yule anayepinga ujenzi wa SGR kwangu ndie Nyumbu wa tanapa.Lakini kwa vile tupo chini ya jangwa la hasara ngoja tusubiri miujiza kwenye maendeleo na viwanda
Nyumba wa Afrika tunaambiwa tunaambiwa SGR inajengwa kwa hela zetu ,kesho hiyo yake bakuli linatembeaYule anayepinga ujenzi wa SGR kwangu ndie Nyumbu wa tanapa.
Kind regardsNina wsiwasi hawa wakimbizi kama 2020 watapata chao, Time will tell tu lkn
DuhAmbacho wewe hujui ni kuwa hiyo ni biashara kweli na inalipa sana.
Mbunge ili ahame analipwa si chini ya Mil 500 hapo Polepole lazima achukue kabisa 10% na hiyo huchukuliwa toka kwa Mbunge alielipwa,kisha Mbunge huyo hutakiwa kulipa karibu milioni 100 kwa vigogo wa chama ili wapindishe kanuni kuhakikisha anarudishwa yeye.
Hapo ndipo watu wanapigia pesa,ninyi mtaona kalipwa mil 500 lkn anaambulia kama mil 350,zingine zinagawiwa kwa wawezeshaji(wazee wa logistic)
Wapambe wa chama endeleeni kuimba Iyena iyeba ,wenye akili watengeneze pesa.
Mkuu hebu acha kumtukuza mzungu kiivo ...yaan wazungu mshawaona km mungu vileUongo uko wap? Soma akina Coupland kuhusu Afrika wanasema au wanafananisha waafrika na wanyama wa porini
Ukishwa fananishwa na mnyama na akili zako ni ni sawa na wanyama akina nyumbu
Ndo maana tunaingia darasani tunasoma wazungu wanavyotutathimini na kurelate na tabia zetu naunga mkono niliyosoma kuhusu Afrika wazungu wapo sahihi,tunafanya mambo ovyo ovyo sanaMkuu hebu acha kumtukuza mzungu kiivo ...yaan wazungu mshawaona km mungu vile
Wanaofanya mambo ya hovyo hawafiki hta 1% sasa kwanini unajumuisha watu wote?Ndo maana tunaingia darasani tunasoma wazungu wanavyotutathimini na kurelate na tabia zetu naunga mkono niliyosoma kuhusu Afrika wazungu wapo sahihi,tunafanya mambo ovyo ovyo sana
Watarudi walikotoka, wazee wa kutangatanga la muhim walishakata mshipa wa aibu na ufahamuNina wsiwasi hawa wakimbizi kama 2020 watapata chao, Time will tell tu lkn
Mzee Tupatupa,wewe si uko Lumbamba?Mbona unalalamika mitandaoni?Tuamini kwamba umekosa mahali pa kupeleka malalamiko yako?Wahamiaji kutoka CHADEMA na CUF (Mollel na Mtulia) walipitishwa bila kura za maoni ndani ya CCM kugombea Siha na Kinondoni. Tukavumilia. Tukasonga mbele. Tena, kuna mpango wenye viwango wa kuwapitisha Wahamiaji wengine Mwita Waitara na Kalanga kugombea Ukonga na Monduli bila kura za maoni. Utekelezaji wa mpango umeshaanza.
Waungamkono wa mpango huo wanajificha kwenye Kanuni za Kiuchaguzi za CCM. Eti, Kamati Kuu yaweza kuondoa utaratibu wa kura za maoni. Sasa, lini na wapi Kamati Kuu ya CCM iliketi, iliamua na kuelekeza kuwa Ukonga na Monduli kusiwe na kura za maoni? Halafu, Katibu Mkuu wa CCM na viongozi wengine mpo kimya tu. Kwanini?
Kura za maoni ni mchakato muhimu. Ni mchakato wa kichama na kisiasa. Lazima mgombea apimwe kukubalika kwake kuanzia kwa wanachama wa CCM wa Jimbo lake/Wilaya yake. Halafu, Kamati Kuu huidhinisha. Kura za maoni huonesha picha halisi ya mgombea mtarajiwa wa CCM katika Jimbo husika.
Ukimya huu wa viongozi wetu, huku kukiwa na malalamiko ya makada wetu wa CCM wa Monduli na Ukonga unatokana na kuwa na uhakika wa 'kushinda' chaguzi hizi za marudio? Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu yangu Dr. Bashiru Ally uko wapi? Kuna tatizo chamani!
Majibu ya Jeshi la Polisi kwa Waziri Lugola yamemuimarisha na kumjenga sana!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Hakika mkuuWaitara anaondoka chadema anadai chadema hakuna demokrasia,natamani niwepo siku moja kwenye kampeni zake nimuulize vip ulichaguliwa na nani au demokrasia gani imetumika ndani ya ccm na kukupitasha kuwa mgombea?
Waafrika chini ya jangwa la sahara hawana akili,akili zao ni sawa na nyumbu- by European scholars