Katibu Mkuu wa CCM Hayupo nchi!!

Katibu Mkuu wa CCM Hayupo nchi!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,905
Reaction score
9,335
Kutokana na makada nguli wa Chama Cha Mapinduzi kuwa wasemaji wakati kuna Msemaji mkuu wa chama ambaye ni Katibu Mkuu Yusuf Makamba inaonekana kama kunakitu nyuma yapazia kama tunavyojua ccm wanataratibu zao nadani ya chama lakini hili lakujibu hoja za CCM limetutia shaka yawezekana katibu kasafiri kifkira!!
 
kule kumeshachakaaa kila mtu anaandaa pa kukimbilia sasa anayeongea ni wale ambao wanajua wanaweza kubaki nchini. utaratibu kule hakuna kuanzia baraza la mawaziri mpaka chini kabisa.
 
Inawezekana anaandaa majibu, si unajua majibu yake yanafuata protocali?
 
hata mie nashanga muda wote asikurupuke labda keshapona kaugonjwa ka kukurupuka anaandaa hoja nzito.
 
Wako na mwanawe wanahesabu hela waliyolipwa na DOWANS kwa utetezi ule mkubwa
 
Wee hushangai ya pinga badala ya kumuita Maguful ampe maelekezo wakiwa ofisini anamtangazia mbovu mitaani!
 
Atakuwa ameenda kuzimu kuongeza nguvu, hali inazidi kuwa ngumu kwa lichama lake la kifisadi.
 
Wee hushangai ya pinga badala ya kumuita Maguful ampe maelekezo wakiwa ofisini anamtangazia mbovu mitaani!

Ningekuwa mimi Magufuli ningejiuzulu hapao hapo, haiwezekani WM aende kukutoa nishai kwa wapiga kura wako, huo ni udhalilishaji wa kisiasa.Lakini kwa vile CCM wako kimaslahi binafsi zaidi Pombe anaona poa tuuuuuuu.
 
Anaandaa au anatafuta?

Nasema anaandaa kwa sababu sio tabia yake kutulia kiasi hiki, bali ni mtu wa kukurupuka kujibu bila kujiandaa sasa hiyo tabia Mzee wetu ameona sio nzuri, anatafuta ushahidi na takwimu za kutosha.
 
Kuna habari za uhakika kuwa CCM ina mpango wa kufanya bonge la re-shuffle katika uongozi mkuu wa chama.... and the main culprit ni Yusuph Makamba. Ndio maana hata watu wa kundi lake eg.Lowasa, Rostam nao wanaonekana as if wako against CCM
Kutokana na makada nguli wa Chama Cha Mapinduzi kuwa wasemaji wakati kuna Msemaji mkuu wa chama ambaye ni Katibu Mkuu Yusuf Makamba inaonekana kama kunakitu nyuma yapazia kama tunavyojua ccm wanataratibu zao nadani ya chama lakini hili lakujibu hoja za CCM limetutia shaka yawezekana katibu kasafiri kifkira!!
 
2020 mtatueleza pesa zetu mmepeleka wapi........ Have you joined the group on facebook.. Kikwete must resign
 
Kutokana na makada nguli wa Chama Cha Mapinduzi kuwa wasemaji wakati kuna Msemaji mkuu wa chama ambaye ni Katibu Mkuu Yusuf Makamba inaonekana kama kunakitu nyuma yapazia kama tunavyojua ccm wanataratibu zao nadani ya chama lakini hili lakujibu hoja za CCM limetutia shaka yawezekana katibu kasafiri kifkira!!

serikali ya awamu hii ni bora liende!!!
 
Inawezekana anaandaa majibu, si unajua majibu yake yanafuata protocali?

Mimi sioni Chadema anataka ajibiwe nini na Chama tawala, kwa maana kuwa sioni swali lake zaidi ya kupanda kwenye majukwaa na kutoa lugha chafu za kuhatarisha maisha na amani ya nchi.

majibu yao walishayapata Arusha na sasa dawa yao ipo jikoni na siku zao zinahesabika.
 
Kweli wameshikwa pabaya!!!Wamekuwa mabubu!!
 
Mimi sioni Chadema anataka ajibiwe nini na Chama tawala, kwa maana kuwa sioni swali lake zaidi ya kupanda kwenye majukwaa na kutoa lugha chafu za kuhatarisha maisha na amani ya nchi.

majibu yao walishayapata Arusha na sasa dawa yao ipo jikoni na siku zao zinahesabika.

Kwako kuhatarisha maisha na kukosa amani ni risasi na milio ya mabomu tu!
lakini huoni kwamba wanaokufa kwa kukosa dawa rahisi na wakifa sanda kiroba na makaburi ya mafungu, wanaokufa kwa njaa, wasomi ambao hawana ajira, na wote waliobeba junia la nazi ngata kifuu, kila kukicha afadhali ya jana kwako hiyo ni si kuhatarisha maisha na ukosefu wa AMANI. Wee kweli kichwani kuna ubongo au tembele tu!
Hakuna anaye kataa dawa na muiandae ila dawa ya uhakika ni kuyafanyia kazi maswali ya CDM Kivitendo, kinyume chake mnajiandalia maangamizi kwa fikra zenu hasi.
 
Back
Top Bottom