Mandla Jr.
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 3,099
- 630
Leo Mh. Katibu Mkuu wa CCM Kinana ameanza ziara ya Siku sita katika Mkoa wa Iringa. Hii ni katika
kuimarisha chama na pia kuangalia kazi zinazofanywa na Serikali chini ya CCM.
Nawasihi vijana wenzangu wa Mkoa wa Iringa kumpatia Mh.Kinana Ushirikiano wa kutosha katika
ziara yake hiyo. Iringa Mjini najua mlikosea wakuu, lakini mwakani sio mbali Jimbo litarudi Nyumbani.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozanana viongozi wa CCM mkoa wa Iringa Kulia Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Ndugu Jesca Msambatavangu na kushoto ni Katibu wa CCM mkoa wa Iringa Ndugu Hassan Mtenga. mara baada ya kuwasili mkoani Iringa.
Mbunge wa jimbo la Isimani Mh. William Lukuvi kushoto akiwa na Kamanda wa vijana mkoa wa Iringa Ndugu Salim Abri Asas na mbunge wa viti maalum Iringa Mh. Ritha Kabati.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Kilolo Mh.Prof. Peter Msola mara baada ya kuwasili mkoani Iringa asubuhi hii tayari kwa kuendelea na ziara yake mkoani humo.
Katinu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimshukuru Kamanda wa vijana mkoa wa Iringa Ndugu Salim Abri Asas ambaye amejitolea kukarabati ofisi ya CCM mkoa wa Iringa.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikata utepe kuzindua jengo jipya la oisi ya CCM wilaya ya Iringa lililokarabatiwa na Kamanda wa vijana mkoa wa Iringa Ndugu Salim Abri Asaspamoja na Mbunge wa jimbo la Isimani Mh. William Lukuvi.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Nape Nnauye wakiwa katika mkutano wa hadhara katika Kata ya Kalenga, Iringa Vijini, walipoanza ziara ya siku sita za kuimarisha uhai wa chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 pamoja na kusikiliza kero za watu na kuzitafutia ufumbuzi.Katika mkutano huo Kinana aliitaka Serikali kuandaa utaratibu mzuri wa kuwatafutia soko la uhakika wakulima.