Mondoros
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 629
- 474
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC) Leo amejumuika na wananchi viongozi pamoja na wanachama wa CCM kumuombea kura mgombea wa udiwani kwa tiketi ya CCM kata ya Nkome wilayani ya chato mkoa wa Geita ndg Masumbuko Nsembe Masumbuko katika mkutano uliofanyika katika kijiji cha Muhalanga . Aidha aliwapokea wanachama wapya kutoka CUF Chadema na ACT na baadae Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa alipata fursa ya kuzungumza na makundi vijana kwa nyakati tofauti kuelekea uchaguzi wa marejeo wa Jumapili 22 Januari.*