Katibu Mkuu mpya CHADEMA yuko wapi?

Weledi wa Dr Slaa hatuambiwa na chama bali utendaji wake hakukua na namna unaweza fichika.Sasa huyu jamaa ambae bavicha pekee ndio mnampigia debe kwamba ni mweledi wakati zao la weledi wake hauonekani,hii ndio faida ya kundi lote kuburuzwa na mjanja mmoja
 
siku hizi posho zimepungua km si kuisha kabisa mkuu, mshahara wa mwezi machi wenyewe wamelipwa majuzi, ni njaaa tu wanacho kifanya hivi sasa ni kutaka huruma waonekane wanajituma,
Wache wasome namba na hapo ndio watajua maana ya mbuzi kula mkeka
 
Acheni unafiki ninyi watu, wakati huu ndo padri amekuwa na weledi? Hebu acha kutaka kuaminisha watu upuuzi kisa tumbo lako
 
Hatuna desturi ya kuendeshwa na mizuka, mizuka ni huko lumumba
Nadhani nyie mnadesturi ya kuongozwa na mihemko, vile vile namuona kama vile anaogopa kuongea asije tema pumba akawaaibisha...
 
Yupo kinondoni mtaa wa ufipa
 
Unamtaka kwa ajili mya nini? weka wazi tukusaidie kwani sisi wengine ni vijikatibu!
 
Wanabodi, habari.

Kutokana na kazi ya katibu mkuu wa chama na ukimya uliopo wa katibu mkuu huyu ni vema tukafahamu yupo kweli?
Inawezekana ni mazoea tuliojengewa na katibu mkuu aliejiondoa CDM Dr Slaa ambaye alikuwa ni mtu wakimkakati zaidi,katibu mkuu wa sasa anaonekana kama kiatu kinampwaya.
Maswali haya ni muhimu kwani kama kalala huenda yakamuamsha kutoka usingizini.

Una Maoni Gani?
 
Katika Serikali hii isiyoamini katika migomo, maandamano, uwazi katika mijadala na badala yake ni kazi tu, Katibu Mkuu wa Chadema atazidi kupotea kabisa. No agenda no politics.
 
Katika Serikali hii isiyoamini katika migomo, maandamano, uwazi katika mijadala na badala yake ni kazi tu, Katibu Mkuu wa Chadema atazidi kupotea kabisa. No agenda no politics.
Aya wahi lumumba ukachukue buku 7 yako
 
Kwa kuendelea kurohoja inaonyesha kuwa stroke imekuingia hata kwenye akili tayari
Mkuu katika maukawa ambayo hua yanaandika ili kujaza servers za JF wewe unashika bendera mkuu, unaandika sana lakini bahati mbaya sana kila unachokiandika ni pumba tu kuanzia asubuhi mpaka asubuhi unaandika ujinga ujinga tu. Kafanye kazi nyingine mkuu, maana hii unayoipenda naona kama vile haikupendi sana, sijawahi kusoma lolote la maana toka kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…