Katibu Mkuu mpya CHADEMA yuko wapi?

CHADEMA wana hali mbaya sana! Dr slaa uko wapi uje uokoe jahazi?
MM, M1 M2, M....! Ilikuwa kazi kipindi hicho...cha kumtafuta MM...we acha tu...ndiyo maana wakati mwingine nakubaliana na rais mstaafu wa awamu ya nne kuwa...huu ni upepo utapita...nikweli ulipita.
 
kwani kinana yuko wapi?
 
Lazima ajipange kwanza hawezi kuanza kukulupuka.
 
Katibu mkuu anaanza kazi tarehe 10,april.2016
 
Ulitaka awe media oriented kama wale wakukurupuka?(futuhi)
 
Towe9i upumbavu funga bakuli zenu huyu ni msomi hawezi kukurupuka kama mlivyozoea mtu mzima kubilingita on stage vituko kwenu haviishi sasa msomi anakuja na stail mpya nyie mshaanza kudandia gari mbele tulieni sindano itawaingia vizuri. Endeleeni huko na wizi wa kinafiki, kula dagaa mchana usiku kuku eti ni kubana matumizi. mberf*
 
Dr wa usingizi, Mashinji uko wapi Mkuu? Hebu njoo uteme neno wanalumumba wasambaratike.
 
Aiisee hii dunia inashidaa, kwahi
yo ulitaka awe anatembea na vyombo vya habari na kujitanga
za anafanya nini kama hao
Wasanii wenu wanaoigiza kufa
nya ziara za ghafla huku wakitaa
rifu vyombo vya habari kwa siri
Ili wakauze sura?

Sisi katibu wetu tunamuelewa na
Ndo mana tumeshinda umeya Jiji la Dar kwa staili hii hii sasa
Makerere ya kazi gain?
Hiii ni staili ya kimya kimya aa
 
Anaendelea na kazi yake ya nusukaputi ( anaethesiology) maana inalipa, hii nyingine na ile ya uenyekiti hazina mshahara wala posho.
 
Huenda mbowe alitaka mtu ambaye atakuwa "under control", au pengine ukimya ni sehemu ya mkakati wao.
 
Amechukua likizo.... Hujasikia??
 
Ni lazima nimtetee, huyu ni kijana msomi sana mwenye phd zaidi ya nne hakuna wakulingana naye. Kwa msomi kama huyu, Programs za amsha amsha Chadema lazima ziandaliwe Kisomi. Hivyo kwa Sasa ameanza na kusimamia na kutoa semina elekezi kwenye Serikali za Mitaa zinazoongozwa na Chadema kisha atajifungia ili kuandaa programs na mikakati. Tuvumilie mpaka mwakani mtasikia moto wake.
 
Yupo ofisin kwake na muda mwingi kwa sasa anapewa semina elekezi . Uzur Katibu wetu mkuuu anajitambua hapendi sifa au ulikuwa unataka umuone akishtukiza kama hao viongoz wenu wa Lumumba.
hiyo semina elekezi anapewa na nani?
 
kwa hiyo mmebahatika kupata katbu msomi kuliko mwenyekiti?
 
Kwani wapi kuna migomo....
Ndio kusema tumesahau sifa yake kuu..........
 
Kuna kitu inaitwa CIU achana nayo kabisa,who thought b4 tht S.l.a.a was a virus
 
We unamtaka wa nini komaa na mzee wenu wa tembo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…