Walimuita katibu mkuu msomi dunia nzima
Mashinji (Manywele) amewekwa pale na Mbowe lengo likiwa eti kujaribu kukipa chama mwonekano wa kitaifa na kukivua lile vazi la aibu la Uchaga na Ukaskazini (ukabila na ukanda). Kwa njia hii anafikiri pengine 2050 ataweza kupunguza kipigo cha mbwa mwizi alichokipata kanda ya ziwa kwenye uchaguzi uliopita. Le akili ndogoz...!Kwenye siasa hakuna usomi ni mbinu mkakati. Lema wa arusha na Sugu wa Mbeya wana usomi gani? Mbowe mwenyewe ana usomi gani?
Huyu amewekwa na mwenyekiti MBOWE kama rubber stamp yake tu walimpamba sana na elimu kubwaaaa
Kwa mara nyingine tena CDM imefanya kosa kubwa
Umefika Ofisini kwake hayupo?Au kufanya kazi lazima kila saa awe magazetini?Kazi ya Katibu Mkuu ni nini?Na Afisa habari je?Kutokana na kazi ya katibu mkuu wa chama na ukimya uliopo wa katibu mkuu huyu ni vema tukafahamu yupo kweli?
Inawezekana ni mazoea tuliojengewa na katibu mkuu aliejiondoa CDM Dr Slaa ambaye alikuwa ni mtu wakimkakati zaidi,katibu mkuu wa sasa anaonekana kama kiatu kinampwaya.
Maswali haya ni muhimu kwani kama kalala huenda yakamuamsha kutoka usingizini.
Hali ipi mbaya Mkuu?CHADEMA wana hali mbaya sana! Dr slaa uko wapi uje uokoe jahazi?
Yupo ofisin kwake na muda mwingi kwa sasa anapewa semina elekezi . Uzur Katibu wetu mkuuu anajitambua hapendi sifa au ulikuwa unataka umuone akishtukiza kama hao viongoz wenu wa Lumumba.Kutokana na kazi ya katibu mkuu wa chama na ukimya uliopo wa katibu mkuu huyu ni vema tukafahamu yupo kweli?
Inawezekana ni mazoea tuliojengewa na katibu mkuu aliejiondoa CDM Dr Slaa ambaye alikuwa ni mtu wakimkakati zaidi,katibu mkuu wa sasa anaonekana kama kiatu kinampwaya.
Maswali haya ni muhimu kwani kama kalala huenda yakamuamsha kutoka usingizini.