pundadumeafrika
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 1,618
- 2,076
Hatari sana mkuunjaa haina baunsa mjomba
Mtu menye akili zake JKNAKUSHUKURU MSTAAFU KIKWETE View attachment 839408
Kidiplomasia tuko juu hata ya Korea kaskazini.Hata sisi tuna Makombora ya Masafa marefu ifikie hatua tuwe kama N. Korea.
Mzee wa kikombe cha babu yupo atatusaidia kutoa doziMakombora ya wazungu ni kukunyima misaada ikiwemo na ARVS , ukumbuke kwamba 95% ya viongozi wako wanaishi kwa kutumia nguvu ya hiyo kitu kutokana na mikesha ya mwenge
Ilikuwa enzi za Nyerere sio hizi za jiwe ambaye hajui hata maana ya diplomasia.Kidiplomasia tuko juu hata Korea kaskazini.
Ukivaa nguo ya kijani huwezi jibu Hoja Kwa Hoja.Dr Bashiri siku hizi amegeuka kuwa upande wa dhuluma! Daah hili tumbo ni noma sana
Ndio maana walikuwa wanamuona dhaifu sasa..we unasikia zama hizi kuna maneno ya shombo shombo??NAKUSHUKURU MSTAAFU KIKWETE View attachment 839408
Kikwete mlikuwa mnamshambulia kwa Uanadiplomasia wake..na sasa Magufuli nyinyi hakuna wa kuwaridhisha.Ilikuwa enzi za Nyerere sio hizi za jiwe ambaye hujui hata maana ya diplomasia.
Uzuri Magufuli bado umri unamruhusu kushuhudia hata serikali 3 au 4 zijazo nafikiri atajifunza kitu labda abadilishe katiba atawale milele.Ndio maana walikuwa wanamuona dhaifu sasa..we unasikia zama hizi kuna maneno ya shombo shombo??
Too much of everything is harmful, upole ukizidi sana unakuwa ujinga ukali ukizidi sana unakuwa wehu kisiasa unaitwa udikteta.Kikwete mlikuwa mnamshambulia kwa Uanadiplomasia wake..na sasa Magufuli nyinyi hakuna wa kuwaridhisha.
HatuitegemeiHawa dawa ni kuwanyima mikopo na misaada.
Nyinyi kuna aina fulani ya laana imewafuata kutoka kwa dr.Wilbroad.Too much of everything is harmful, upole ukizidi sana unakuwa ujinga ukali ukizidi sana unakuwa wehu kisiasa unaitwa udikteta.
Wao ndio watajifunza kwa magufuli kufanya yale ambayo yalionekana sio rahisi kufanyika tz..ila magu kayafanyaUzuri Magufuli bado umri unamruhusu kushuhudia hata serikali 3 au 4 zijazo nafikiri atajifunza kitu labda abadilishe katiba atawale milele.
Hee hivi US wakiamua figisu mtaongea nyie kunguru wa lumumba?baba yenu anaujua huo mziki watamtoa uchi mjengoni pale ndani ya dk 5Dr.Bashiru amewapa za uso hao mabepari.
Hivi unafikiri uhusiano wa nchi kwa nchi ni kama wewe na mkeo?!Hee hivi US wakiamua figisu mtaongea nyie kunguru wa lumumba?baba yenu anaujua huo mziki watamtoa uchi mjengoni pale ndani ya dk 5