Katibu Mkuu CCM, Dr. Bashiru: Hatutishwi na matamko

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,506
Reaction score
62,060
Akiwa Zanzibar leo kwa ziara ya kujitambulisha Dr. Bashiru Ally amesema Tanzania ni nchi huru inaheshimu mataifa rafiki ya nje lakini haitishwi na matamko ya nchi yeyote, ameyafananisha matamko hayo na vipeperushi vya mitaani.

Nafikiri alikuwa anaujibu ubalozi wa Marekani ambao hivi karibuni umetoa tamko la kulaani jinsi Tume ya uchaguzi, polisi na serikali kwa jumla wanavyonyanyasa wapinzani wakati wa uchaguzi.

Naona tumeanza kuota ndevu sasa.
 
Hiki kisiwe kichaka cha mboe kujificha ili tusimuhoji kwa nini chama kinakimbiwa na wabunge na madiwani wake.

#Mbowe must Go
 
Ukweli ndio huo. Sisi ni nchi huru, tunajiamulia mambo yetu wenyewe na uongozi wetu mahiri chini ya jemedari wetu JKN II. Watuache na maujinga yao kabisaaaaaaa
 
Mbona hapa hana ndevu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…