Katibu mkuu BAVICHA atua jijini Birmingham, Uingereza

Mdutch

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
214
77
Wakuu

Katibu Mkuu wa BAVICHA Deogratias Munishi amewasili Birmingham City jana kuhudhuria Mkutano Mkuu wa chana cha Conservative na kesho kutwa anatarajiwa kukutana wenyeji wake, viongozi wa vijana wa Chama hicho jijini Londoni kwa mazungumzo.

Munishi amewasili Birmingham akitokea Berlin Ujerumani alikohutubia mkutano mkuu wa Vijana wa CDU akiwa ameambatana na Mwenyekiti wake kamanda na jembe la vijana Tanzania John Heche kama inavyoonekana kwenye picha hapo chini.


tn

Munishi Ujerumani Juzi.

My take.

Big up BAVICHA kwa jitihada zenu za kuitengeneza taswira ya vijana kimataifa.

 
Hongera sana makamnda kwa kuendelea kuwatia kiwewe ccm lazima kieleke mwaka huu mpaka 2015 ccm itakuwa imebaki jina tu
 
Back
Top Bottom