Katibu BAVICHA anapaswa kuisaidia polisi kwa kauli za kichochezi

Tumia jina lako kamili mkuu.. ili tusije tukakusahau.. kwenye teuzi.. asante
Sijui anaogopa nini kutumia jina lake...nani atahangaika na kilaza kama yeye? Hao ndio wa kupewa Ukuu wa Mkoa na dikteta uchwara, anazo sifa zinazohitajika awamu hii!
 
Watanzania ni wapumbavu
Watanzania ni malofa

Kutoka kwa BWM
Hongera Mkapa kwa kutambua hili!

Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app

Hizi sio Kauli Za kichochezi au uchochezi haufanywi na Wenye kinga?????
 
ndo mnachoweza hicho.. kukamata wapinzani wasiojua hata silaha inashikwaje huku watu wasio na hatia wakiendelea kuuwawa

Chama Cha Makinikia kinajifia taratibu
 
Wew ni mpumbav sana. Kaa chin tafakar kuhusu maana ya uchochez. Hapo huyo kaongea ukwer mtupu. Waliosoma psychology wanazielewa haraka sana chuki za mkuu
 
Sasa hivi naona siraha pekee mliyobakiza ni vyombo vya dola cjui ikifika wakati navyo vikafail mtatumia nn tena

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
Nchi gani na raisi gani?je kama ni raisi wa Manzese?Kutokuwa na akili kwa wana lumumba ni ulemavu mbaya sana.Kuanzia mwenyechair,kondakta wote ni NULL SET.
 
Nishawishi kwa maelezo machache na kwa kutumia kamusi ya kiswahili fasaha kuwa maneno "nchi imevimba" ni uchochezi!

Na niambie neno "uchochezi" maana yake ni ipi au unalielewaje?

Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
nilipoona hayo maswali uliyomuuliza nkasema nisicoment kwanza nipitie page zote mbili nione kama atajibu,ni dhahiri kakimbia maswali yako mkuu,mtoa mada kupitia mawazo yake anaonesha kiumri mdogo na anafata mkumbo tu ila hajui anatetea nini.hawa watu wanasikitisha sana.
 
Jeshi la polisi linapaswa kumuhuji ikiwezekana kumfikisha mahakamani Katibu wa BAVICHA Bw. Julius Mwita kutokana na kauli zake za kichochezi alizozitoa wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari. Mfano wa kauli hizo ni "nchi inavimba uvimbe wa chuki na uvimbe wa uhasama" kauli nyingine ni nchi hii inavimba chuki kutokana na kauli za mh Rais. Polisi inabidi imshughulikie ili iwe fundisho kwa wengine wenye tabia kama zake za uchochezi.

[HASHTAG]#Amani[/HASHTAG] ni zawadi ya bure sana tuwachukie wanasiasa wenye kuhatarisha amani yetu.
Wewe itakua mpumbavu na lofa,nawe uhojiwe sambamba na lodilofa ben

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom