KATIBA

KATIBA

BAKI

Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
30
Reaction score
4
Ni wazo tuu, kwa upande wangu ninafikiri kwa Kodi wananchi wanayolipa, serikali ingegawa copy ya katiba kwa Kila kaya, hi ingesaidia wananchi Kama s wote kujua Haki zao za msingi...nafikiria kwa upande wangu lingekuwa Jambo la msingi,nawasilisha
 
Back
Top Bottom