gimmy's
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 3,305
- 3,327
Yani upinzani wa kweli unahitaji muda sana nchini.Hii ni kutokana na wao kutotambua dira ya vyama vyao.
Kwa maneno mafupi unaweza sema upinzani wapowapo tu.
Ile agenda ya katiba ya warioba sasa haisikiki kabisa kama vile ilishapatikana.Sasa wanahangaika na bunge live wakichanganya na Lugumi.
Wapinzani hawana kabisa mpangilio wa nini wanahitaji wafanye wakati gani na mkakati wakuyakamilisha mambo yao.
Wao hudandia mambo na kuyaacha na kudandia mengine ingali yale walioyadandia awali bado hawajayamaliza.
Upinzani kama utandaeshwa kwa style hii tutarajie anguko kubwa sana hasa kwenye utawala huu wa Magufuli.