Katiba ya ndoa/mahusiano



kwa hiyo mpaka mkeo ateseke ndo ujue anakupenda?!
 
kuna wengine kupika ni mfano wa kuteseka

kwa nafsi yangu kufua ni kuteseka ..............hata mikono yangu hairuhusu kuwa nitumie sabuni :]
 
ulidhani ni starehe tu? Kuna kazi ya kuaminiana, kupendana, kuzaa, kulea watoto n.k. Sasa haya yote yanahitaji mwongozo ulio wazi

Na huu muongozo uliowazi ambao kila mmoja aliurudhia utashika mkondo wake sbb upendo kupungua kati yenu au kutaka kuachana kwenu isiwe chanzo cha matatizo kwa watoto. Kuwe na katiba itakayoainisha wazi majukumu ya kila mmoja wenu, ni vipi awajibike ktk hili na lile na inapotokea upendo wenu umekwisha, nini mustakhabari wa watoto! Watu siku hizi hawaogopi maneno ya vitabu vitakatifu sbb hawawajibishwi on the spot wanapokosea inasubiliwa hadi siku ya kiama sasa ikiwepo katiba ambayo itawanyoosha on the spot itakuwa safi sana.
 
kulea ni kuwapa love tu watoto na kuwakatza tabia mbaya ..........manual jobs hazimo kwenye ulezi.
Hapa dada Gaijin naona kama kidogo umepotoka, vipi kama huyu mtoto akijisaidia ktk nguo au nguo zake zikichafuka utamuacha sbb hiyo ni "manual activity" ambayo kwa mtazamo wako siyo kulea??
 
kuna wengine kupika ni mfano wa kuteseka

kwa nafsi yangu kufua ni kuteseka ..............hata mikono yangu hairuhusu kuwa nitumie sabuni :]

omba kuwa mwanaume basi
 
Hapa dada Gaijin naona kama kidogo umepotoka, vipi kama huyu mtoto akijisaidia ktk nguo au nguo zake zikichafuka utamuacha sbb hiyo ni "manual activity" ambayo kwa mtazamo wako siyo kulea??

tumfanyie gai maombi tu maana nina wasiwasi na mahusiano yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…