Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,264
Majuzi kuna mkenya mmoja alitengeneza katiba yake kuainisha ni jinsi gani mpangilio wa maamuzi na uwajibikaji vinavyopaswa kuwa ndani ya nyumba. Aliandaa hiyo katiba baada ya kusumbuliwa na wanawake wa awali. Alizungumzia machache kwa ufasaha tu. Swali ni je, kuna haja ya kuwa na maandiko yanayotoa mwongozo wa majukumu ya baba, mama na watoto? Yawezekana ikaleta maridhiano baada ya kila mmoja (wazazi) kusoma, kuridhia na kusaini
Iko siku mtaanza kufikiria hata kusainishana kufanya tendo la ndoa
No! ndoa ni mkataba na mkataba lazima uwe na pande mbili ambazo ni baba na mama,mi naunga mkono lazima kuwepo na masharti ndani ya ndoa,hizi ndoa za misukumo ya ngono tuachane nazo, watu wanaoana hawamalizi mwezi kisa walisukumwa na kudanganyana na i love u i love u,watoto wapo mitaani kisa baba na mama waliachana,tubadilike vigezo na masharti lazima vizingatiwe,Iko siku mtaanza kufikiria hata kusainishana kufanya tendo la ndoa
No! ndoa ni mkataba na mkataba lazima uwe na pande mbili ambazo ni baba na mama,mi naunga mkono lazima kuwepo na masharti ndani ya ndoa,hizi ndoa za misukumo ya ngono tuachane nazo, watu wanaoana hawamalizi mwezi kisa walisukumwa na kudanganyana na i love u i love u,watoto wapo mitaani kisa baba na mama waliachana,tubadilike vigezo na masharti lazima vizingatiwe,
Kwa hiyo mmojawapo akikosea mahali,ataambiwa rejea kifungu flani! hata kuwe nakatiba itakayoshuka kutoka juu sidhani kama itasaidia.Vitabu vya dini pia ni katiba lkn imekuwa ngumu pia.
Kingi ningefurahi kuipata hiyo katiba niitoe complimentary kwa ndugu zangu wa ISC wawe na katiba mbili,sipati picha watakavyokuwa wanarejea huku na huku,,,lol

Kabisa Man! na ikitokea vikavunjwa basi hadi mahakamani ifike na ikiwezekana adhabu kama faini au kifungo itolewe. Italeta heshima na kuwafanya watu wasiokuwa responsible wawe RESPONSIBLE.
Kaka kakudanganya nani watoto wa sikuhizi wanaogopa hivyo vitabu vitakatifu? unajua binadamu tumeumbwa na aibu na kweli kama mtu alikubali kwa dhati kabisa kwamba nakubaliana na masharti haya sidhani kama atayakiuka,na akikiuka anajua lazima atasutwaIt depends na watu wenyewe kama wameshindwa kufuata maandiko yaliyoko kwenye Biblia na Quran, Je? Unafikiri ukiweka hivyo vigezo na masharti vitafuatwa? Kama ni msukumo wa mtu kufanya kitu fulani yeye atafanya tu as long as anajisikia kufanya hivyo bila kuhisi mwenzake wa upande wa pili anajisikiaje, kama mnahitaji kuweka sheria basi ni vizuri kurejea kwenye Biblia na Quran maana zina sheria tosha ambazo kila mtu akifuata basi kutakuwa hakuna haja ya kuanza kufikiria katiba katika ndoa yako au mahusiano yako
It depends na watu wenyewe kama wameshindwa kufuata maandiko yaliyoko kwenye Biblia na Quran, Je? Unafikiri ukiweka hivyo vigezo na masharti vitafuatwa? Kama ni msukumo wa mtu kufanya kitu fulani yeye atafanya tu as long as anajisikia kufanya hivyo bila kuhisi mwenzake wa upande wa pili anajisikiaje, kama mnahitaji kuweka sheria basi ni vizuri kurejea kwenye Biblia na Quran maana zina sheria tosha ambazo kila mtu akifuata basi kutakuwa hakuna haja ya kuanza kufikiria katiba katika ndoa yako au mahusiano yako
Hivi ada yako ya mwezi huu umelipa maana mwezi ndio unaisha hivyo unajua kwenye chama chetu wewe ni mwanachama mtiifu sana kwahiyo tusingependa ukawa na malimbikizi ya madeni ya ngoja niwasiliane na katibu
Kaka kakudanganya nani watoto wa sikuhizi wanaogopa hivyo vitabu vitakatifu? unajua binadamu tumeumbwa na aibu na kweli kama mtu alikubali kwa dhati kabisa kwamba nakubaliana na masharti haya sidhani kama atayakiuka,na akikiuka anajua lazima atasutwa

Naona ndoa zetu zimekosa maana halisi kabisa
dunia imebadilika hatufati hata maagizo ya mungu
tunatafuta fomula zetu binafsi
ndoa nyingi zinavunjika ,upendo umekoma,chuki zimejaa ndani ya wanandoa ,kwa sababu ya kiburi majivuno kujiona bora
tunakoelekea ndio huko kwenye ndoa za mikataba kwa sababu ya utandawazi ,kila mmoja kujiona zaidi mwenzio
eeh mungu tusaidie
Na hapo ndipo mnapokosea mnakimbilia kuweka sheria zenu wenyewe wakati zile zilizoko kwenye vitabu vya dini hamzifuati, tusianze na visingizio eti ohooo binadamu ameumbwa na aibu, anza kufuata kwanza sheria alizoziweka Mungu ndio mambo mengine yatafuata kama wewe ni mkristu fuata zile amri kumi kama muislamu pia wao wana sheria zao katika dini zao
Naona ndoa zetu zimekosa maana halisi kabisa
dunia imebadilika hatufati hata maagizo ya mungu
tunatafuta fomula zetu binafsi
ndoa nyingi zinavunjika ,upendo umekoma,chuki zimejaa ndani ya wanandoa ,kwa sababu ya kiburi majivuno kujiona bora
tunakoelekea ndio huko kwenye ndoa za mikataba kwa sababu ya utandawazi ,kila mmoja kujiona zaidi mwenzio
eeh mungu tusaidie
amri za Mungu ziko miaka mingapi ndugu? Hata kutunga hiyo katiba si kama inaenda kinyume na amri zake. Tofauti ni kuwa amri za Mungu ziko general na abstract zaidi wakati katiba ya wanandoa itakuwa specific na more visible