Katiba ya Afrika Kusini hairuhusu mzungu kugombea Urais?

Chuck j

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
2,361
824
Naomba kujuzwa kuhusu Afrika ya Kusini.

Je, makaburu wanaruhusiwa kutawala urais? Naona watu weusi tu ndio wanatawala.

Kuna mtu aliniambia kuwa, katiba hairuhusu mzungu kugombea urais.

Anayejua anisaidie.
 
Mkuu Nchi ina vyama 12 na vyenye nguvu ni ANC ina wabunge 249.EFF 25 na DA 75 ivyo vyama ndio vinasimamisha wagombea wao awe mweusi au mzungu au boers wakikubaliana wao sawa tuu.
 
Baadaye ya kuwafanyia 'madhila' watu weusi, wazungu waliamua kukaa kimya kwenye nafasi ya uraisi, ila wameshikilia nafasi nyingi sana za mhimu katika uchumi wa nchi!
 
Back
Top Bottom