Nikukumbushe
JF-Expert Member
- Jun 4, 2013
- 2,602
- 408
Hata wakitumia vyombo vya habari,bado katiba pendekezwa ni kama unauza gunia la bangi. Magazeti kama uhuru,mzalendo nk pamoja na TBC watu hawayasomi wala kusikiliza TBCCM
Waipeleke zanzibar waone cha mtema kuni
Kwenye dustbin!Katiba pendekezwa Mahala pake ni WAP?....... by Seif
Kwa jibu jepesi na sahihi, tuite tu kuwa, katiba ya Sitta na mzee wa vijisenti imebuma!Hata wakitumia vyombo vya habari,bado katiba pendekezwa ni kama unauza gunia la bangi. Magazeti kama uhuru,mzalendo nk pamoja na TBC watu hawayasomi wala kusikiliza TBCCM
Waipeleke zanzibar waone cha mtema kuni
Hata wakitumia vyombo vya habari,bado katiba pendekezwa ni kama unauza gunia la bangi. Magazeti kama uhuru,mzalendo nk pamoja na TBC watu hawayasomi wala kusikiliza TBCCM
Kama haiuziki basi itanunuliwa na CCM kwa pesa za IPTL, USWISS, GESI, kama wafu na meghji walipiga kura kupitisha katiba pendekezwa,katiba itapita!