Katiba mpya na haki ya ardhi

Man 4 M4C

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
743
114
Kwanini Viongozi wengi waastaafu wanamiliki mashamba makubwa sana maeneo mbalimbali nchini na wananchi wa kawaida,wafugaji hawawa sehemu za kulima wala malisho? Angalia Arumeru,Mbalali,Mvomero,Kilindi,Handeni?

Nafikiri ni muhimu sasa kuingiza katika katiba mpya ukubwa wa shamba la kumilikiwa na mtu mmoja angalau usizidi ekari 100.
 
Back
Top Bottom