Katiba mpya mbona tumenyamaza

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,958
7,512
Jamani naambiwa hati mjadala wa rasmu ya kuundwa kwa tume ya kukusanya maoni itajadiliwa mwishoni mwa bunge hili,sasa kama mpango unaojadiliwa wa mipango hauoneshi bajeti ya katiba mpya huko tunapelekwa wapi,je haitaathiri malengo yetu
 
Unajua watanzania bado hawajaiva sana, ikiekwa pressure kidogo na Serikali na CCM kuanza kulalamika, wananchi wengi huamini ni vyema wakapatiwa muda kulishughulikia. Ndio maana kuna ukimya kidogo kuhusu hilo. Ikithibitika kuwa hakun la maana lililofanyika tutanza tena
 
Back
Top Bottom