Ni vizuri Watanzania tupiganie kwa namna yeyote ile hadi tupate Katiba mpya kabla ya muhula wa rais Samia. Katika katiba hii lazima kipengee cha kiongozi kuweza kushtakiwa kiwemo. Tena kipengee hicho isisitizwe kianze kutumika tangu kufariki kwa Mwalimu Nyerere.
Heshima ya kusamehewa ipewe Mwalimu Nyerere pekee. Si kwa kumpendelea, bali kwa vile hata makosa aliyoyafanya hayakuwa kwa makusudi.
Dalili ni sera ya maisha yake, ambapo si yeye mwenyewe wala watoto au ndugu zake waliofaidika kwa yeye kuwa kiongozi. Mtu kama huyo ndiye ambaye hata Mwenyezi Mungu huenda akamwonea huruma. Mimi si mshabiki wa Mwalimu Nyerere lakini haki isemwe.
Pia unaweza kumsamehe kutokana na kwamba hakuwa na uzoefu wowote alipofika madarakani, na wala hakukuwa na yeyote Tanzania aliyekuwa na uzoefu huo. Yaani kakuwa kabisa na reference.
Vinginevyo wote waliokuja baada yake wawajibike.
Wale waliotangulia mbele za haki wahukumiwe kwa makosa ya wizi wa resources na kama kuna fedha walizozificha na mali, zitaifishwe.
Hizi ni mali za Watanzania kwa hiyo sioni kwa nini ashitakiwe mwizi wa kipande cha papa na aachiwe mwizi ambaye hana sababu ya kuiba isipokuwa ubinafsi, kutojali sheria, impunity
Ni kwa kufanya hivi tu ndipo viongozi wa baadaye wataheshimu sheria.