Katiba Mpya:Humphrey Polepole Live Chanel Ten

Katiba Mpya:Humphrey Polepole Live Chanel Ten

Kijana yuko safi sana, anaongea kwa kutulia na anajua kujenga hoja. Wewe fikiria tume iliyokuwa imesheheni wataalamu, na watu ambao hawana ushabiki wa " kijinga" wa vyama, halafu unawapelekea kina KOMBA unategemea nini?
 
Sita umefilisika kimawazo kwanini uhoji kura ya HAPANA na siyo NDIYO hicho unachokifanya siyo misingi ya demokrasia ya kweli.Ww unataka kulazimisha watu wote wawe sawa au ndiyo mnaanza kutengeneza mianya ya kitu kidogo?mm mpaka sasa sijaelewa kwanini uunde hiyo kamati.Pole sana mjombo kuwa mwenyekiti wa Bunge maalumu la katiba umeshusha CV.Naicho ulichokifanya leo ni aibu tupu.
 
Back
Top Bottom