ndugu wewe ndiyo umefika msituni halafu unawaona walio nje ya msitu ndiyo wamepotea,tafuta hiyo 'bill' uisome VIZURI utagundua hatutafikia kupata katiba yenye kusimamia maslahi ya wananchi 'instead' tutaletewa katiba itokanayo na CCM as you can't get to the right place without passing the right way