Katiba: Kwanini neno hili linatumika sana?

Kisoda2

JF-Expert Member
May 30, 2008
2,475
745
Nimefatilia toka tuanze kujadili suala la katiba hapa JF na wale wanaoandika katika magazeti na hata kwenye runinga neno MAREKEBISHO ya katiba lina tumika sana.
umekuja muswada na wenyewe heading REVIEW-mapitio/marekebisho whatever!

Sasa hapa naona tunachanganyana,ingependeza kama tungelitumia muafaka kama muswada wa kuandika katiba mpya.
ili na tuanochangia ama kuandika habari kuhusu hilo tulitumie hilo na hata hao wanaoleta ujanja watuelewe kwamba tunamaanisha kuandika katiba mpya na si kuifanyia marekebisho katiba.

naomba kuwasilisha kwa maoni zaidi..
 
Back
Top Bottom