Kati ya wanaume wa kiislamu na wa kikristo wapi wanaongoza kwa kuwa na nyumba ndogo?

Status
Not open for further replies.

JUMONG

Senior Member
Sep 16, 2011
107
59
Naomba dada zetu mlioolewa na watu hawa mtusaidie.

Zingatieni: Waislamu wanaruhusiwa kuoa wanawake hadi wanne.Imani yao imesema hivyo na ninaiheshimu.
: Wakristo wanaruhusiwa kuwa na mke mmoja ndiyo imani yao inavyosema hivyo na ninaiheshimu.

Nyumba ndogo ni mahusiano yanayoibuka nje ya ndoa?Nini tatizo?Au ni shetani tu yuko kazini?Au ni tabia ya mtu binafsi?Au mke mmoja hatoshi?

Karibuni kuchangia mada bila kumkashifu mtu au dini ya mtu.

Nawasilisha mada.
 
Mke mmoja hatoshi Mkuu. Lazima apate msaidizi mmoja au wawili inategemea mfuko wako uko vipi
 
Kitheory na logic inaonesha Wakiristo wanaongoza kwa nyumba ndogo! Due to the fact that wamekosa nafasi HALALI ya kuengeza mke!
...
In practise, the issue of nyumba ndogo haidepend religion!
Its purely the habit of someone! ie you can be a muslim with 4 wives and there have possibility to have more than 4 nyumba ndogos instead of those wives!!!!
...
I hope you catch me!
 
I catch you Mashaxizo, true say
 
Hapa kuna mambo mengi 1hulka2sheria3imani 4tamaa.lakini bila kuivunja imani ya mtu tukiangalia wakrito utasema wanongoza kulingana na sheria za dini Yao kwa waislamu kama anaishi na vimada hajafuata sheria za dini yake atahesabiwa ni mzinzi tu kwa ujumla Mimi nionavya yote tunayafanya kwa tamaa ya miili yetu
 
Mambo ya uzinzi hayahusiani na kuwa mkristo au muislam ni suala la mtu binafsi na mihemko yake inavyompanda. Dini zote haziruhusu nyumba ndogo.
 
ninaafiki!
Kitheory na logic inaonesha Wakiristo wanaongoza kwa nyumba ndogo! Due to the fact that wamekosa nafasi HALALI ya kuengeza mke!
...
In practise, the issue of nyumba ndogo haidepend religion!
Its purely the habit of someone! ie you can be a muslim with 4 wives and there have possibility to have more than 4 nyumba ndogos instead of those wives!!!!
...
I hope you catch me!
 
Mke mmoja hatoshi na kizuri kula na mwenzio.
Naomba dada zetu mlioolewa na watu hawa mtusaidie.

Zingatieni: Waislamu wanaruhusiwa kuoa wanawake hadi wanne.Imani yao imesema hivyo na ninaiheshimu.
: Wakristo wanaruhusiwa kuwa na mke mmoja ndiyo imani yao inavyosema hivyo na ninaiheshimu.

Nyumba ndogo ni mahusiano yanayoibuka nje ya ndoa?Nini tatizo?Au ni shetani tu yuko kazini?Au ni tabia ya mtu binafsi?Au mke mmoja hatoshi?

Karibuni kuchangia mada bila kumkashifu mtu au dini ya mtu.

Nawasilisha mada.
 
Utafiti bila takwimu unaonyesha kuwa mwanaume ana nyumba ndogo sawa na idadi ya wake zake.
 
Kwanza kabisa tukubaliane, mkristo ni nani na muislamu ni nani.

Maana kuitwa John si ukristo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom