Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 57,103
- 128,722
Wanabodi
Baada ya Polepole kuandika barua ya kujiuzulu, niliandika Polepole: Shujaa, Mzalendo wa Kweli Kama Nyerere, Kang'atuka Kama Nyerere!, Amesema Ukweli Nusu!, Je Atoe Mguu Nje Aseme Ukweli Wote, Apewe Maua Yake?
Leo nimemsikiliza akiongea, naomba kuuliza , kuna ile simulizi ya mfalme kushonewa joho la invisible, halafu akajitokeza kwenye kadamnasi ya watu, kati ya walimzunguka Mfalme na kumsifu kwa nyimbo na mapambio huku wakimshangilia kwa kumpigia makofi, vifijo na nderemo kwa jinsi alivyopendeza na ile Invisible Robe yake mpya, na yule mtoto mdogo aliyemweleza ukweli, mfalme kuwa yuko uchi!, nani anamsaidia kweli?.
Sio mara moja wala mbili tunawalalamikia wasaidizi wa Mfalme wetu ambaye ni Malkia kuwa, wamwambie ukweli, kumwambia ukweli ndiko kumsaidia!.
Nilisema Wasaidizi wa Magufuli walimuogopa hadi kushindwa kumsaidia, Je Wasaidizi wa Samia wanamsaidia kwa kumweleza ukweli au nao wanamuogopa? Tumsaidie au..? Polepole ni shujaa, haogopi mtu, anamsaidia kwa kumweleza ukweli!.
Kama Polepole atasomwa kwa utuo, na kusikilizwa kwa utuo, ana hoja za msingi, na atalisaidia sana taifa!.
Tafakari
Paskali

- Je, wajua Muswada Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani 2023 ni batili? Ni mvinyo wa zamani, kwenye chupa mpya? Why ubatili huu?
- Rais Samia Mgeni Rasmi AGM ya TLS: Wanasheria Tumweleze Ukweli Kuhusu Ubatili wa Katiba Yetu na Sheria Zetu, Turudishe Haki Kuu ya Msingi
- Pre GE2025 - Je, Wajua bila minimum Reforms za Katiba, Uchaguzi Mkuu wote utakuwa ni batili?Sababu,INEC,Katiba ya ZnZ na Sheria Mpya ya Uchaguzi Zote ni Batili
- Pre GE2025 - Japo Katiba ni 'Kakitabu Tu', Kwenye Nchi, Katiba Ndio Kila Kitu, Bila Mabadiliko Madogo ya Katiba Uchaguzi Mkuu Utakuwa ni Null & Void Ab Initio?