Kati ya Usher Raymond na R-Kelly nani mkali zaidi ya mwenzake kwenye miondoko ya R&B ?

Kila mmoja na mtazamo wake ila wote wako vizuri, kuwa kwenye game mda mrefu haimfanyi mtu kuwa bora kuliko wengine, wapo wengi wapo mda mrefu mahali lakini ni bure kabisa. R Kelly ni mkongwe kuliko Usher kwenye game lakini haina maana kuwa Usher si mkali, vibao kama Confession, Burn, Bad girl zipo kibao ni moto wa kuotea mbali...
 
E.KELLY ". ni hatari zaidi " japo kuwa na uheshimu mnoo uwezo WA usher pia ....wote wapo kwenye list ya billboard ya wasanii wa Kali wa wakati wote
 
Back
Top Bottom