Kati ya shule hizi, ipi nzuri manispaa ya Temeke?

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,743
25,535
Habari zenu wana JF,
Nilikuwa naomba mnitajie shule nzuri y serikali kuna dogo nataka nimuamishie pale.
Kati ya hizi ipi nzuri na inapatikana maeneo au mtaa gani.
NA. JINA LA SHULE
1 Aboud Jumbe
2 Agape Mbagala
3 Alfurqaan
4 Arch Bishop John Sepeku
5 Balili
6 Barabara ya Mwinyi
7 Buza
8 Chamazi
9 Chang’ombe
10 Chang’ombe
11 Changanyikeni
12 Charambe
13 Corner Stone
14 DSM Christian Seminary
15 George Kongowe
16 Jitegemee
17 Jitegemee
18 KENT
19 Kibada
20 Kibasila
21 Kibasila
22 Kibugumo
23 Kidete
24 Kigamboni
25 Kimbiji
26 Kisarawe II
27 Kisota
28 Kurasini
29 Lumo
30 Maarifa Tandika
31 Makangarawe
32 Malela
33 Mbagala
34 Mbagala Kuu
35 Mbande
36 Miburani
37 Mikwambe
38 Minazini
39 Mizimbini

Asanteni
 
Mpeleke private tu shule yoyote,Serikalini ni majanga
Acha zana potofu ww ss tumeesoma izi shule na tumekuwa watu potential xana ,shule ya chang'ombe ipo vzr sana ii ipo chini ya chuo kikuu cha dar es salaamu walimu wanafundisha vzr pia walimu wanakuwa interviewed kabda ya kuja kufundisha hapo ni shule ya serikali lkn ipo tofauti na zingine ,
 
Shule za dalisalama za serikali ni majanga. Kama kichwani yuko fiti mpeleke Centennial Christian Seminary iko Kongowe ya Jirani kabisa na Mbagala. Kiwilaya iko Mkuranga Pwani.
 
Habari zenu wana JF,
Nilikuwa naomba mnitajie shule nzuri y serikali kuna dogo nataka nimuamishie pale.
Kati ya hizi ipi nzuri na inapatikana maeneo au mtaa gani.
NA. JINA LA SHULE
1 Aboud Jumbe
2 Agape Mbagala
3 Alfurqaan
4 Arch Bishop John Sepeku
5 Balili
6 Barabara ya Mwinyi
7 Buza
8 Chamazi
9 Chang’ombe
10 Chang’ombe
11 Changanyikeni
12 Charambe
13 Corner Stone
14 DSM Christian Seminary
15 George Kongowe
16 Jitegemee
17 Jitegemee
18 KENT
19 Kibada
20 Kibasila
21 Kibasila
22 Kibugumo
23 Kidete
24 Kigamboni
25 Kimbiji
26 Kisarawe II
27 Kisota
28 Kurasini
29 Lumo
30 Maarifa Tandika
31 Makangarawe
32 Malela
33 Mbagala
34 Mbagala Kuu
35 Mbande
36 Miburani
37 Mikwambe
38 Minazini
39 Mizimbini

Asanteni
Mbande
 
Habari zenu wana JF,
Nilikuwa naomba mnitajie shule nzuri y serikali kuna dogo nataka nimuamishie pale.
Kati ya hizi ipi nzuri na inapatikana maeneo au mtaa gani.
NA. JINA LA SHULE
1 Aboud Jumbe
2 Agape Mbagala
3 Alfurqaan
4 Arch Bishop John Sepeku
5 Balili
6 Barabara ya Mwinyi
7 Buza
8 Chamazi
9 Chang’ombe
10 Chang’ombe
11 Changanyikeni
12 Charambe
13 Corner Stone
14 DSM Christian Seminary
15 George Kongowe
16 Jitegemee
17 Jitegemee
18 KENT
19 Kibada
20 Kibasila
21 Kibasila
22 Kibugumo
23 Kidete
24 Kigamboni
25 Kimbiji
26 Kisarawe II
27 Kisota
28 Kurasini
29 Lumo
30 Maarifa Tandika
31 Makangarawe
32 Malela
33 Mbagala
34 Mbagala Kuu
35 Mbande
36 Miburani
37 Mikwambe
38 Minazini
39 Mizimbini

Asanteni
Kibasila
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom