Sasa jamani wadau,me ndio mshamba kabisa kwenye haya mambo ya simu,ila nataka simu ya nokia yenye button sio touchscreen,halafu yenye screen pana na yenye uwezo mkubwa wa kusuport internet,nishaurini ipi nichukue na bei yake kama kuna mtu anaufahamu zaidi na hilo.