uyui kwetu
JF-Expert Member
- Oct 23, 2013
- 1,185
- 734
SUBARU ni kiboko kwenye lami tu Mkuu
Gari Comfortable, Durability na sustainable barabarani ni Kilimo kwanza
- kanachomoka usiombe lakini kwenye vumbi na changarawe kanahama na katakuua
- kwenye bump hakawezi katapinduka kakuache hewani
- kwenye mashimo ya lami (km pale Mlandizi kwenda daraja la Wami palipojaa maji sasa kuna mahandaki na matuta ya lami) katatembelea kifua
- kwa barabara zote za Tanzania SUBARU katachagua 10% ya barabara zetuhakawezi kutoka Babati kwenda Iringa roughroad utaokota tairi kila moja upande wake
hata Escort No 1 Benzi huwa zinakaa pembeni zikisikia msafara utatumia rough road na baadhi za barabara za milima km Mvomero- Segera- Msata -Bagamoyo huko hata RR au NISSAN huzikuti
Well nimeangalia clips nyingi kuhusu RR ikiwa offroad. Aisee ni monster
Sasa hii habari ya VX V8 kuwa ndio kiboko inatoka wapi? Clip nyingi za head to head inashindwa! Kuna clip IPO pia YouTube bio vx v8 inashindwa drag race na disco 4, nilisema hili earlier kuna mjuaji akanitukana,ila clip IPO vx v8 inaachwa na disco 4 kwenye drag race!
Hiyo Clip ya VX-V8 kushindwa na gari ingine (Disco-4) kwenye drag-race au rough-road iwekeni basi maana nyingi Bulldog kaweka za RR na Benz post #349 katika Clip 7 ni moja tu VX na alikubali kuwa katika AfrikaSasa hii habari ya VX V8 kuwa ndio kiboko inatoka wapi? Clip nyingi za head to head inashindwa! Kuna clip IPO pia YouTube bio vx v8 inashindwa drag race na disco 4, nilisema hili earlier kuna mjuaji akanitukana,ila clip IPO vx v8 inaachwa na disco 4 kwenye drag race!
https://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=x0qWHJ6FLTY
Hiyo Clip ya VX-V8 kushindwa na gari ingine (Disco-4) kwenye drag-race au rough-road iwekeni basi maana nyingi Bulldog kaweka za RR na Benz post #349 na alikubali kuwa katika Afrika
https://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=x0qWHJ6FLTY
https://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=x0qWHJ6FLTY#t=0
Bado naamini katika Tanzania afrika VX-V8 ni bora kwa kila fani jibu mmeshapata tuwekeeni You Tube ipo wazi
sijakuelewa Mkuu leo unaposema Off-road zote zinafanana wakati Clip zako zinaonesha ni VX pekee inamaliza ungwe hizo na hata nyingine zinakwea vilima zaidi ya nyuzi 75Offroad zote zinafanana mkuu
Hiyo Clip ya VX-V8 kushindwa na gari ingine (Disco-4) kwenye drag-race au rough-road iwekeni basi maana nyingi Bulldog kaweka za RR na Benz post #349 katika Clip 7 ni moja tu VX na alikubali kuwa katika Afrika
https://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=x0qWHJ6FLTY
Bado naamini katika Tanzania Afrika VX-V8 ni bora kwa kila fani jibu mmeshapata tuwekeeni You Tube ipo wazi
Hiyo Clip ya VX-V8 kushindwa na gari ingine (Disco-4) kwenye drag-race au rough-road iwekeni basi maana nyingi Bulldog kaweka za RR na Benz post #349 katika Clip 7 ni moja tu VX na alikubali kuwa katika Afrika
https://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=x0qWHJ6FLTY
Bado naamini katika Tanzania Afrika VX-V8 ni bora kwa kila fani jibu mmeshapata tuwekeeni You Tube ipo wazi
nimekupata Mkuu Lakini ukiangalia lvizuri ile ni tangazo la Range Rover na la kuuza spare zao wachangiaji wa ile tube wanashauri ingewekwa TOYOTA LANDCRUISER VX-V8 na mchangiaji wa mwisho anadai hiyo Discovery Gearbox ni ya FORD (David Troon the landrovers motor is a ford duratorq motor the transmission is a zf transmission toyota is all toyota) sina mengi TOYOTA VX-V8 is the Bestthere you go... https://www.youtube.com/watch?v=kapOaNA_UUY
nimekupata Mkuu Lakini ukiangalia lvizuri ile ni tangazo la Range Rover na la kuuza spare zao wachangiaji wa ile tube wanashauri ingewekwa TOYOTA LANDCRUISER VX-V8 na mchangiaji wa mwisho anadai hiyo Discovery Gearbox ni ya FORD (David Troon the landrovers motor is a ford duratorq motor the transmission is a zf transmission toyota is all toyota) sina mengi TOYOTA VX-V8 is the Best
Mkuu ni kweli nikiacha ushabiki RR inaweza fuata alipopita VX-V8haya hapa nissan patrol imekaa...RR imepita!
https://www.youtube.com/watch?v=22K419gSlAw
https://www.youtube.com/watch?feature=player_detailpage&v=drkKpG6DLHM#t=1404x4 nissan patrol, toyota LJ et HDJ 80, range rover, land rover discovery, jeep cherokee, lada niva
Mkuu ni kweli nikiacha ushabiki RR inaweza fuata alipopita VX-V8
Lakini wengine km kina Discovery wanachemsha kwa vigari km kina Lada na kujitoa mashindanoni
Kwa vile mleta mada hakuiweka Disco, unaweza kuangalia ukatambua pia kuwa Dreva ni muhimu katika haya magari kwani uzoefu ni alama ya kwanza ka make ya gari
https://www.youtube.com/watch?feature=player_detailpage&v=drkKpG6DLHM#t=140
sijakuelewa Mkuu leo unaposema Off-road zote zinafanana wakati Clip zako zinaonesha ni VX pekee inamaliza ungwe hizo na hata nyingine zinakwea vilima zaidi ya nyuzi 75
Siijui hii gari zaidi ya kuiona kwenye mitandao na kwenye muvi, ila inaonekana ni luxury sana, na kwa huku kwetu zitavunjika tu springs, zinanesa nesa sana, la sivyo ruti ziwe posta na masaki.
Kuna kitu Cadillac Escalade. Siijui sana kuhusu specifications zake lakini kwa muonekano dude la mmarekani linatisha kuliko V8 na RR
Mbabe kwenye nini? Hio VX V8 haiwezi hata kufukuzana na LR Disco 4 ya 3.0TDV6![/QUO
We mshamba unafananisha V8 na V6? Unajua horsepower nini kwanza ?
we ndo mshamba then we unajua wat real do the job ni torque
Ngoja nitoe final verdict yangu
1.design and technology RR mshindi.
2.fuel efficiency zote saw a
3.overall speed,handling,comfortability RR by far
4.reliability Land Cruiser mshindi
Overall kwangu Mimi RR mshindi.
Mkuu RRONDO Range kwa mazingira yetu ya kiafrika hasa kwetu sisi watanzania ambao Lami ni chini ya 20% tuu ya barabara zetu ni VX itamfaa huyu jamaa.