Kabla ya ukoloni, Africa hatukuwa n dini. Ni ajabu wewe unaziita dini zetu, alafu unakubali zitugawe.Kwenu;
Mapenzi ni ishu mtambuka, siku roho inapoumizwa ndo utajua dunia ilivyo.
Siku hiyo utaona kila kitu kinakuelemea, dunia yote ni chungu, ni kama umefiwa vile, ni upweke ulioje.
Maono yangu, kama ni mwanamke ameachwa ni hasara kubwa sana, tufanye mfano ametumika tokea akiwa binti mbichi, yawezekana hata bikra ametolewa na hiyo njemba, halafu inamuacha ghafla tu, itamuumiza sana.
Njemba imekutoa bikra, imetanua papuchi, una miaka zaidi ya 30, kumpata mtu sahihi ni ngumu, mwanamme gani atakubali kuchukua kitu iliyozeeshwa.
Ila mwanamme yeye ni ngoma mdundo, hata awe na miaka 40 bado atampata tu binti mbichi, na tena bikra.
Halafu hii kitu ya kuishi na kutaka kuoana dini mbili tofauti ni mbaya mno, mwanamke au mwanamme umekosa mtu sahihi kwenye dini yako?, tuzipende dini zetu. Tusiuze dini zetu kwa kigezo cha mali.
Tafakuri.
labda alimtongoza huyoo niffa akamkataa kaamua kutoa nyongo.Uzi wako umekaa Kitoto sana...Heading na Content haviendani....
Kingine mambo ya watu yaache kama yalivyo... Wameachana/ameacha/ameachwa hayakuhusu....
Kwenu;
Mapenzi ni ishu mtambuka, siku roho inapoumizwa ndo utajua dunia ilivyo.
Siku hiyo utaona kila kitu kinakuelemea, dunia yote ni chungu, ni kama umefiwa vile, ni upweke ulioje.
Maono yangu, kama ni mwanamke ameachwa ni hasara kubwa sana, tufanye mfano ametumika tokea akiwa binti mbichi, yawezekana hata bikra ametolewa na hiyo njemba, halafu inamuacha ghafla tu, itamuumiza sana.
Njemba imekutoa bikra, imetanua papuchi, una miaka zaidi ya 30, kumpata mtu sahihi ni ngumu, mwanamme gani atakubali kuchukua kitu iliyozeeshwa.
Ila mwanamme yeye ni ngoma mdundo, hata awe na miaka 40 bado atampata tu binti mbichi, na tena bikra.
Halafu hii kitu ya kuishi na kutaka kuoana dini mbili tofauti ni mbaya mno, mwanamke au mwanamme umekosa mtu sahihi kwenye dini yako?, tuzipende dini zetu. Tusiuze dini zetu kwa kigezo cha mali.
Tafakuri.
Happy new year shem darlingMkuu heri ya mwaka mpya.
Pamoja na faida nyingi za dini,
Ila imeleta utengano katika jamii. Imagine umempenda mnapendana Kwa Moyo wote halafu dini inawatenganisha inawafanya hamuwezi kuishi pamoja, mnaachana mnaenda Kwa mnaofanana dini kisha hampendani kilasiku ugonmvi hamna Amani Ila mna dini moja iliyowaunganisha... Nini SASA hiki??
Kuna dini inakataza kujumuika katika sikukuu za wengine haziruhusu Kula wala kusheherekea nao pamoja wala kuwaunga mkono... Yaani wakwako ni wale wadini yako tuu... Kweli hawa watu wa middle East walikujua kutuweza Sisi waafrica.
Anyway, Mungu atufungulie uelewa zaidi 2024.
Thank you
Yaan bas tyuuh.Uzi wako umekaa Kitoto sana...Heading na Content haviendani....
Kingine mambo ya watu yaache kama yalivyo... Wameachana/ameacha/ameachwa hayakuhusu....
🤣🤣🤣🤣🙌Hayanaga muongozo