Unafikiri watakujibu
Life artficial sio mpango kabisa
Ishi maisha ambayo ni yako na wala sio ya kuiga au kuwaangalia fulani na fulani wanaishi vipi
mambo ya kujiweka high class kumbe mwenzangu na mimi tunabanana uswahilini sio issue kabisa
Afu ujue mie out ya kwanza huwa ni Miami Beach
Mi ukiingia anga zangu lazima nikuzululishe sana kwa miguu, si mnajua mzee mzima sina mkoko hadi leo!!!
Wanafunzi wa vyuoni ndo wana hizo mambo za kujifanya bab kubwa, ngoja atoke hapo akutane na life la kujitegemea chini ya mkwer'e, anapauka ananyoooooka kujishebedua mashauzi yote kwishney
Mi nadhan,wengi wanaopenda kujiweka matawi huwa wanaiga kutoka kwa watu wao wanao wazunguka hususan marafiki..hiyo haijalishi mwanamke au mwanaume..na hiyo sio katika nyanja ya mitoko tu,hata kwenye mengine..mbona watu kibao wanaishi kwenye nyumba za kupanga (bonge la jumba)kwa kutegemea kulipiwa na jamaa ili mradi tu yaaani..au jamaa anaendesha gari la mwana kisha anamwambia beibe la kwake,siku akiwa hana basi atasema lipo garage au bro kamuazima one time..
Yaani wewe nitakupeleka pale chako ni chako manzese au sana sana nimekutunuku rose garden ukapambane na mabar maid ambao wanajua kuchakachua bill
Kweli bana! wanatuharibia hata sisi maselebriti wa ukweli tunaonekana ndo wale wale tu. Nazani hii iingizwe kwenye katiba mpya