Jamani ushauri wenu unahitajika hapa plse, nina marafiki zangu wa kichaga, mmoja mchaga wa kibosho, mmoja wa marangu, wote ni warembo na nimekuwa nao bila wao kujijua, sasa very soon nataka nifanye maamuzi magumu ya kumpiga mmoja chini nibaki na mmoja tuu, mi c mwenyeji wa huko kwao moshi, nachoomba hapa ni tabia za kila sehemu watukapo, yani marangu na kibosho wana tabia gani?? Kwa wale wenyeji wa moshi msaada wenu plse

Mmarangu ni Mhaya wa Kilimanjaro....
Nawashauri hao dada zangu wasiolewe na Chasaka..
"umevurugwa wewe" msemo wa bby wangu.
"umevurugwa wewe" msemo wa bby wangu.
Leo umeongea ukweli Mmarangu ukishindwa kugegeda ujue wewe ni ----.nimewala sana mpaka kwenye mmmh nimekula.
We famba kweli.....Na maanisha ni Mhaya kwa mantiki ya kusoma na kuji-proud....
Angalia usije chafua hali ya hewa hapa..