kati ya me na ke, nani huanzisha mchezo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kati ya me na ke, nani huanzisha mchezo?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Plato, Jan 30, 2011.

 1. Plato

  Plato JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 421
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 33
  nimekuwa nauliza baadhi ya maswala hapa nahitaji kujua.sasa ninapata shida kujua katika ndoa ni nani kati ya mme na mke anapaswa kuanzisha mchezo.kwani mara zote nikianzisha tunacheza hadi mechi inaisha kwa furaha.ila siku nisipoanzisha,mwenzagu hukaa kimya.utata ni kuwa siku nyingine nakuwa nataka ila sijui kama yeye anataka pia,nasubiri aanzishe,wapi! nisipoanzisha hata wiki inapita.ila nikianzisha hata kila siku tunafanya vizuri.sasa nachanganyikiwa.mimi mhaya na mwenzangu mchaga kama hilo laweza kuwasaidia wachangiaji.asante
   
 2. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #2
  Jan 30, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mwanaume yeyote huona raha sana endapo mwanamke wake ataomba penzi. Sio lazima kila siku eti mimi ndio nianze ku-initiate majamboz. Hebu mfahamishe mwenzio:coffee:
   
 3. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #3
  Jan 30, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Anyetaka "KUINGIA" kwa mwenzie ndiye anayeanza. Sijui kama kinyume chake kinawezekana yaani kutaka "KUINGIWA" na mwenzio.
   
 4. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #4
  Jan 30, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,933
  Likes Received: 2,084
  Trophy Points: 280
  Kwa asili tendo la ndoa per se sio priority ya mwanamke katika mahusiano......and so ukiona yeye ndio anaanzisha mara kwa mara kuliko mwanaume....inabidi ujiulize mara mbili mbili!
   
 5. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #5
  Jan 30, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Sijui bana, nisije danganya bureee ila sisi ni anyone can initiate ze game
   
 6. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #6
  Jan 30, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Aanzishe yoyote mwenye hamu.
   
 7. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #7
  Jan 30, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  ooohh my dear friend
  huu ndo mchezo tu mmoja duniani
  ambao hauna referee ..
  mpira uko katikati..
  anayetaka akachukue..
  na mwenzako akianza kukurushia pasi na we mrudishie kwani hii tag team..

  unajua utamu wa mapenzi ni kuongelea..
  mmhh mkumbatie bibie, mbusu, mwangalie kwa jicho
  la mahaba halafu mwambie au mweleze kilicho moyoni..

  maana hapo juu umesema ni mkeo..
  sasa kama mmeoana hamna haja ya kumficha..
  maana weye na ye ni kitu kimoja sasa..
   
 8. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #8
  Jan 30, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,759
  Likes Received: 83,056
  Trophy Points: 280
  Uzuri ni kwamba umeshamjua mwenzio kwamba hata siku moja hataanzisha game hata week au zaidi ikikatika, lakini kila unapoomba mechi za kirafiki basi mwenzio hushiriki katika mechi hizo hadi unasuuzika roho yako. Kwa hiyo wewe kila unaposikia kucheza mechi basi usisite na kumsubiri mwenzio aombe game WE ANZISHA TU! maana unajua fika kwamba participation yake itakuwa 110%

  Right Thru Me (Clean Version) - Nicki Minaj | Music Video | VEVO
   
 9. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #9
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  hapo umenena mkuuu
  lakini we waonaje kama mie nikianzisha siku moja???
  hahah lol
   
 10. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #10
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  soma history ya haya makabila
   
 11. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #11
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kwani akianzisha sana deme inaashiria nini?
   
 12. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #12
  Jan 31, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  napingana nawe mkuu. hata yeye huwa anaanzisha ila hujajua namna anavyoanzisha! hii inawamisslead wanaume wengi sana wakafikia kudhani kuwa bila wao mapenzi hakuna au tendo la ndoa halifanyiki. hii ni fallacy, wanawake wana namana na mbinu nyingi tu kuanzisha sasa kama mwanaume tena uliye kwenye ndoa yakupasa umsome na kumjua mwenzio.

  mfano unapopanda tu kitandani, yeye anageuka au anasogea kando upande wake. na wewe tayari ukishaona maeneo yanayokutia hamasa tayari unataka kugusa na then mchezo unaanza. hapo usijitape kwamba umeanzisha wewe,aliyeanzisha ni mke na hata kulala sehemu yako alilala makusudi ili ukifika akuite kwa kujibinua! au yaweza kuwa tangu mapema anakutazama tazama kukuchokoza ili kukutia hamasa na ikifika jioni anajifanya kuwahi kulala, na wewe kwa "hasiira" za tangu mchana unashindwa kuvumilia hadi asubuhi, ukimgusa tu yuko prepared! nawe hujiulizi nani kamuandaa, alijiandaa mwenyewe ndio akaanzisha. this is too psychological. jitahidini kuwasoma wake zenu na mtagundua wanaanzisha mara nyingi sana huo mchezo.

  mie nina uwezo wa kutamka hata kwa maneno nataka nini manake ni saikolojia ndio huwa inataka na ukishajiandaa kisaikolojia unaweza tamka au kufanya lolote. na tena wanawake wengi tu huwatamkia wenzi wao
   
 13. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #13
  Jan 31, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  I always admire you,
  Every single day in JF,
  God bless you!!!!!!!!
   
 14. KiuyaJibu

  KiuyaJibu JF-Expert Member

  #14
  Jan 31, 2011
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 769
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Hapa ni kila mtu anastahili kuanzisha match;ila kama mtu wako hayuko hivyo ni suala la kumueleza awe huru kuzungumzia suala hilo pindi anapojisikia kula uroda akwambie kama wewe unavyofanya.Labda huenda anaogopa kukwambia na wewe hujawahi kumueleza kama unapenda yeye anapojisikia akwambie.
   
 15. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #15
  Jan 31, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Hiyo ni kweli Afrodance, huyo ni mkeo mweleze ukweli wa moyo wako, hiyo itaweka kachumbali ndani ya mboga. Siku njema!!!!!!!!!
   
 16. Sinai

  Sinai JF-Expert Member

  #16
  Jan 31, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 289
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mie wangu huwa anaanzisha kama anajisikia! Hivyo yoyote kati yetu, mwenye kutaka tunda anapinga kipenga cha kuashiria kuanza kwa mchezo!
   
 17. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #17
  Jan 31, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,933
  Likes Received: 2,084
  Trophy Points: 280
  Lady N, itategemea na uhusiano wenyewe na pia wahusika wenyewe.

  Kwa sehemu kubwa, sex drive ya mwanaume iko juu zaidi ya ile ya mwanamke (isipokuwa katika umri fulani tu, na huwa ni kupindi kifupi). So kiasili inategewa mwanaume kuwa muanzishaji mara kwa mara.
   
 18. n

  ngoko JF-Expert Member

  #18
  Jan 31, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 574
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mhhh. Ngoja tusikie upande mwingine
   
 19. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #19
  Jan 31, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  umenena vema
   
 20. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #20
  Jan 31, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,971
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Huwa kila mimi nikitaka hayuko tayari na nimemwambia siku akiwa tayari aniambie mwenyewe. Huwa nimeacha kuanzisha kuepuka maudhi na yeye ndiye anayelianzisha na sikumbuki lini mara ya mwisho kulianzisha. Hivyo akilianzisha kwa interval ya wiki kwangu sawa tu.
   
Loading...